Friday, June 15, 2018

BIRD COMPANY

     BIRD COMPANY
Waliniita bad company
Kile hawakujua me ni bird company
Kufly high siihitaji moshi ya weed
Wala siihitaji heels kureach the most high
Nor do I need to climb on the tall hills
All I need is to go down on my knees
And talk to Him na heart yangu ataiheal
Naplay high with them eagles
And am still cool sinaga ego
Waezi nifwata koz wanioni so wanafollow my echo
Nawaonea mbali zaidi ya eighteen
Hadi wale ni under age
Washanifanya yao biz kunisoma kama book
So kwa kila meeting hukuwa wamenibook
Nikisimama wanaanza kuclap
Natia bidii nifanye kazi safi wasiseme ni crap
But msee wa chomelea akipita kwangu sikosi scrap
Na pia siwezi kosa ma friends hupenda kwenda club
So walionifanya yao biz bado nazidi waandikia mores pages
Zile watasoma for ages
Koz napata more knowledge vile tu na age

©Crucial

6 comments: