Sitauliza mbona sikukumeet mapema
Hio ni proverb ya walioolewa
God's time ndio sawa
Si wahenga walishatwambia!
Hii ndio time perfect ya God
So nitakutunza kama Gold
Itakuwa better kwanza tukigrow old
Pamoja day and night tutahit hii road
Ina milima na mabonde but nikiwa nawe sitaona zikiwa bold
Kuna vile nishaona zote signs
Life certificate yetu nilieka sign
Usiulize mbona sikuitisha yako
Si me plus you is equal to one?😉
Meaning one signature was enough 😊
I will never make you regret
Am ready to make our life great
And of course make our friends salivate
Not for sweet foods but for our great marriage 💘
To be continued ………………
all rights reserved ❤